RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa watu walioathirika kufuatia ajali ya ndege ya Shirika la Precision katika Ziwa Victoria leo Novemba 6, 2022.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Twitter Rais Samia ameandika β€œNimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya ndege ya Shirika la Precision katika Ziwa Victoria, mkoani Kagera. Natuma salamu za pole kwa wote walioathirika na ajali hii. Tuendelee kuwa watulivu wakati huu zoezi la uokoaji likiendelea huku tukimuomba Mwenyezi Mungu atusaidie.

Previous articleBreaking News: Ajali ya Ndege Ziwa Victoria Waliofariki Wafikia 19, Majeruhi 26
Next articleNdoa ya Amber Lulu Yanukia, Adaiwa Kuwa Kwenye Uhusiano na Mtu Mpya

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here